UTANGULIZI
Kahawa ni miongoni mwa mazao ya biashara ya biashara yanayoliingizia taifa mapato mengi, kahawa ni zao la pili la biashara baada Tumbaku.
Asili:kwa mujibu wa wataalam asili ya kahawa ni katikati ya Ethiopia.
kusambaa: kutoka Ethiopia kahawa ilisambaa hadi India, Uturuki, Italia, Uingereza na Africa mashariki
- Tanzania–Hulimwa sehemu tofauti tofauti ikiwemoMiteremko ya Mlima Kilimanjaro na kusini mwa Mlima Meru, Nyanda za juu za Ngorongoro, Miteremko ya Milima ya Uluguru, Kaskazini mwa Mkoa wa Mara (Hususani wilaya ya Tarime), Mkoa wa Kigoma (Wilaya za Kasulu, Kibondo), Mkoa wa Mbeya wilaya za Rungwe, Mbeya, Mbozi and Na Tanga katika miteremko ya Milima ya Usambara.
- Kenya– Hulimwa maeneo ya Ol Donyo Sabuk, Machakos, Nakuru na Rift Valley.
- Uganda– Hulimwa Maeneo ya Bugisu Mlima Elgon, Kigezi, Ankole, Toro na Nile
No comments:
Post a Comment