Kahawa hua tayari kuvunwa miezi 8 hadi 9 kutoka kipindi ambacho maua ya mechomoza unatakiwa kuvuna matunda ambayo yamesha yamesha iva na kubadilika rangi kua nyekundu .
Ukivuna matunda ambayo bado hayaja iva usababisha kahawa kua chungu sana
Katika maeneo ya kitlopikia unaweza kuvuna mara moja kwa mwaka.
No comments:
Post a Comment